{"id":1268658,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268658/?format=json","text_counter":303,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mungatana, MGH","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kifungu cha 11 cha Mswada huu kinasema kwamba mtu akitaka leseni ya kufanya biashara yoyote, anafaa kutangaza. Watu wanafaa kujua hatua za kufuatwa ikiwa wanataka leseni ya kufanya biashara fulani."}