{"id":1268845,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268845/?format=json","text_counter":172,"type":"speech","speaker_name":"Kwale County, ODM","speaker_title":"Hon. Fatuma Masito","speaker":null,"content":"Kwa hivyo, dadangu Jane, Mhe. kutoka sehemu ya Kirinyaga, nimekuunga mkono kwa Hoja hii uliyoileta mbele ya Bunge hili, na niko pamoja na wewe. Asante sana, Mhe. Spika wa Muda."}