{"id":1269027,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1269027/?format=json","text_counter":87,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wafula","speaker_title":"","speaker":{"id":348,"legal_name":"Davis Wafula Nakitare","slug":"davis-nakitare"},"content":"Kwa niaba ya wanabondia nchini, ninampa heko Wanyonyi kwa kudhibiti shinikizo za nchi jirani kwamba hatuna nguvu wala uwezo, na kwamba tuekeze katika mchezo wa bondia hapa Kenya."}