{"id":1270891,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1270891/?format=json","text_counter":43,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"(2) iarifu Seneti chanzo cha utepetevu katika usimamizi ikizingatiwa kwamba jengo hilo lilikabidhiwa serikali kipindi kifupi kilichopita."}