{"id":1271954,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1271954/?format=json","text_counter":79,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Boy","speaker_title":"","speaker":{"id":13200,"legal_name":"Issa Juma Boy","slug":"issa-juma-boy"},"content":"Lakini, kuna kilio kimoja. Tulipendekeza sisi viongozi katika Kaunti ya Kwale pamoja na Gavana wetu; kuna miche mingi sana ya mikoko ambayo wananchi wameweza kukuza. Kama unavyojua, watu wetu wako na hali ngumu sana kimaisha."}