{"id":1271956,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1271956/?format=json","text_counter":81,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Boy","speaker_title":"","speaker":{"id":13200,"legal_name":"Issa Juma Boy","slug":"issa-juma-boy"},"content":"Tulipeana salamu kwa Principal Secretary wako ili muweze kusaidia wananchi hiyo miche iweze kununuliwa na kupandwa katika hiyo mikoko yetu ya sehemu za bahari za Pwani, ufuo wetu wa Kwale; yaani Shimoni, Lungalunga, Vanga na Gasi."}