{"id":1271957,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1271957/?format=json","text_counter":82,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Boy","speaker_title":"","speaker":{"id":13200,"legal_name":"Issa Juma Boy","slug":"issa-juma-boy"},"content":"Kwa hivyo, Waziri, tunaomba kama itawezekana, hiyo miche ambayo imepandwa, kwa sababu kuna vikundi vingi vya akina mama na watu kule Kaunti ya Kwale wamepanda mbegu za mikoko."}