{"id":1272745,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1272745/?format=json","text_counter":200,"type":"speech","speaker_name":"Magarini, ODM","speaker_title":"Hon. Harrison Kombe","speaker":null,"content":"ashakufa. Hivi leo ukiambiwa una saratani, basi utafikiria miezi sita baadaye utaenda kupumzika kaburini. Lakini si hivyo. Inastahili watu waambiwe mapema."}