{"id":1274628,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1274628/?format=json","text_counter":72,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Naibu Spika, wakati mwingine akileta Kauli nzuri kama hii inafaa ashauriwe na ofisi ya Katibu, ili Kauli kama hizi zisisomwe bila kuchangiwa na Maseneta wengine. Jana Sen. Okenyuri alisoma taarifa muhimu sana, lakini hatukupata---"}