{"id":1274685,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1274685/?format=json","text_counter":129,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"The Senate Minority Leader","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"ya Manda Airport pia sio nzuri ilhali hapo ndipo sisi hutua tukienda Lamu. Itakuwa vyema ikiwa Serikali itaongeza upana ili watu wakishuka pale waone kwamba iko sawa. Asante."}