{"id":1275857,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1275857/?format=json","text_counter":381,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"marekebisho ambayo yamependekezwa katika mswada huu. Kwanza kabisa, vyombo vya habari vimeripoti kwamba Dollar ya Marekani inabadilishwa kwa Kshs150 ya pesa za Kenya."}