{"id":1275866,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1275866/?format=json","text_counter":390,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"kutoka asilimia 64 hadi asilimia 55 ambayo inapendekezwa katika Mswada huu. Hatuna shida na kubadilishwa kwa mfumo wa deni kutoka Kshs10 trillioni hadi asilimia 55 ya"}