{"id":1276656,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1276656/?format=json","text_counter":267,"type":"speech","speaker_name":"Mombasa County, ODM","speaker_title":"Hon. Zamzam Mohammed","speaker":null,"content":"wananyonya sana hali inayofanya tumbo ifure. Kila wanapoingiza chakula kwenye tumbo, minyoo wanang’ang’ania hiyo chakula; na ndiposa, unapata mtoto akiwa na afya mbaya, nywele nyekundu na kila unapoangalia sura yake, achekwa na wenzake mpaka wanapata ile"}