{"id":1277193,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1277193/?format=json","text_counter":138,"type":"speech","speaker_name":"Mombasa County, ODM","speaker_title":"Hon. Zamzam Mohammed","speaker":null,"content":" Asante Bw. Spika. Swali langu linaenda kwa Mawaziri wote wawili. Ilianza kwanza na M-pesa, watu wakawa wanaingia wanawaibia wananchi pesa. Kuna moja alijilipa pesa kama Mbunge na ilikua kumbe ni stori kama ya Alfu Lela Ulela . Mwisho mmenyamaza mpaka imefika kuwa Taifa la Kenya tunapoteza takwimu zetu, tunapata watu wameingia kwenye system na Kenya inakua kabisa iko blackout . Waziri wa Usalama amesema vile alivyo fanya usalama katika mambo ya maandamano akafaulu. Katika"}