{"id":1277912,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1277912/?format=json","text_counter":277,"type":"speech","speaker_name":"Jomvu, ODM","speaker_title":"Hon. Bady Twalib","speaker":null,"content":". Zote zibaki vile vile, lakini ziongezwe halafu kuwe na usimamizi mzuri. Ningependa kuzungumzia Uwezo Fund . Mimi na Mhe. Kaluma tumetoka mbali kwa pamoja. Nimekuwa katika Bunge hili mwaka 2013, 2017 na sasa 2022 - vipindi vitatu. Ninakumbuka katika mwaka wa 2017…"}