{"id":1278347,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1278347/?format=json","text_counter":66,"type":"speech","speaker_name":"Lamu East, JP","speaker_title":"Hon. Ruweida Mohamed","speaker":{"id":2100,"legal_name":"Shariff Athman Ali","slug":"shariff-athman-ali"},"content":" Ahsante, Mhe. Spika. Kama tunavyojua, dunia inabadilika na shetani ako juu zaidi. TikTok inatusaidia kuonyesha maendeleo yetu. Mimi nimekuwa nikionyesha mabarabara na maendeleo mengine lakini haijatrend kama siku nilipoimba tu Ngamia Wangu . Mambo ambayo si muhimu inatrend na kutuuza zaidi. Kwa hivyo TikTok isiende pahali. Kwa ajili ya uzuri wake, iwe papa hapa."}