{"id":1278552,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1278552/?format=json","text_counter":271,"type":"speech","speaker_name":"Kisauni, ODM","speaker_title":"Hon. Rashid Bedzimba","speaker":{"id":13383,"legal_name":"Ali Menza Mbogo","slug":"ali-menza-mbogo"},"content":"Sasa, miraa na muguka zinapigwa dawa na kuletwa sokoni. Vijana wetu wengi sasa ni wenda wazimu kwa sababu ya dawa za sumu ambazo wanatumia kila siku."}