{"id":1278914,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1278914/?format=json","text_counter":315,"type":"speech","speaker_name":"Keiyo South, UDA","speaker_title":"Hon. Gideon Kimaiyo","speaker":null,"content":"Kwa hayo machache, ninaunga mkono mfumo huu mpya wa ufadhili lakini ninaiomba Wizara ya Elimu itupatie habari zaidi."}