{"id":1283965,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283965/?format=json","text_counter":367,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wafula","speaker_title":"","speaker":{"id":348,"legal_name":"Davis Wafula Nakitare","slug":"davis-nakitare"},"content":"kukimbia, ni kama umemuona nyoka. Ndio hayo ninayoona katika Jumba la Seneti. Ukimuona nyoka, toroka. Yale ambayo tumependekeza kama Kamati ya Mamlaka na Heshima ya Bunge ni kali, lakini unapoyavulia, lazima uyaoge."}