{"id":1285658,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1285658/?format=json","text_counter":80,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii ya kuchangia. Ningemshauri ndugu yetu, Sen. Madzayo, achangie Taarifa hii ya Sen. Okenyuri kuhusiana na maswala ya ‘mchele” katika mangwe."}