{"id":1285664,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1285664/?format=json","text_counter":86,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"The Senate Minority Leader","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":" Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii. Ninataka kuuliza swali moja. Je, ni haki yeye kiongozi wake wa waliowengi wachache--- kama mmoja wa wanaotakiwa kuongea kuhusiana na “mchele”, unaofanya wengine kuzimia. Ni haki?"}