{"id":1286252,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1286252/?format=json","text_counter":457,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Murango","speaker_title":"","speaker":{"id":13585,"legal_name":"Murango James Kamau","slug":"murango-james-kamau"},"content":"Bw. Naibu Spika, Mathayo 20:16- “Yesu akamaliza kwa kusema, “hivyo, walio wa mwisho watakuwa wa kwanza na wa kwanza watakuwa wa mwisho.” Siri ni kufika ukiwa umechelewa ili uweze kuongea mapema."}