{"id":1286932,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1286932/?format=json","text_counter":157,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Kingi","speaker_title":"The Speaker","speaker":{"id":13412,"legal_name":"Michael Thoyah Kingi","slug":"michael-thoyah-kingi"},"content":"Kwa hivyo, Sen. Wafula yuko sawa akisema kwamba anahujumiwa wakati anazungumza. Sen. Kinyua, ukiendelea hivyo, basi unajua ni mashaka gani yatakufuata."}