{"id":1289018,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1289018/?format=json","text_counter":21,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Ni lazima kuwe na taratibu kama hizo na hakuna makosa kubeba maji ama kubeba chochote. Kama waliona kuna makosa, next time ikiwa tutaenda huko, watatupikia chakula na kufanya kila kitu. Tuko tayari katika mambo hayo."}