{"id":1291511,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291511/?format=json","text_counter":154,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bw. Spika, ninaunga huu Mswada mkono kwa zile pesa inapeana, lakini, kuna shida kwa mgao wa madini. Kaunti ya Embu imepewa Kshs2,142. Saa zingine, mimi hushindwa na ile mambo inafanywa na watu!"}