{"id":129420,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129420/?format=json","text_counter":362,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Muthama","speaker_title":"","speaker":{"id":96,"legal_name":"Johnson Nduya Muthama","slug":"johnson-muthama"},"content":"Bw. Naibu wa Spika, nchi hii haina sheria ya mnyonge. Bw. Ringera hawezi kuja hapa kujitetea. Wale wanaopinga uteuzi wake zaidi, wakipewa nafasi hiyo, watatumikia na kusema: âHewala!â Tuchukueni likizo twende nyumbani."}