{"id":1294535,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1294535/?format=json","text_counter":339,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mungatana, MGH","speaker_title":"","speaker":null,"content":"wananchi alafu sisi tunaenda kwa hospitali kubwakubwa za private. Kipengele hicho kingewekwa, watu wangechukulia hii mambo na uzito zaidi."}