{"id":1294688,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1294688/?format=json","text_counter":54,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mundingi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante Bw. Spika. Bw. Waziri tunajua ya kwamba umefanya kazi nzuri sana. Miaka mingi, hatujawahi kuona waziri akifanya kazi kama ambayo wewe"}