{"id":129558,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129558/?format=json","text_counter":500,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Bw. Spika, nitawataja wakati ukifika lakini kwa sasa naomba niweke tamati na kusema kwamba napinga Hoja hii na watu wa Wundanyi Constituency wako na mimi wakisikia naipinga."}