{"id":129686,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129686/?format=json","text_counter":74,"type":"speech","speaker_name":"Ms. S. Abdalla","speaker_title":"","speaker":{"id":380,"legal_name":"Shakila Abdalla","slug":"shakila-abdalla"},"content":"Bw. Spika, Waziri Msaidizi amesema ya kwamba waliothirika ni kuwa sababu ya kinga zao mwilini kuwa hafifu. Je, kuna mpango gani wa kuhakikisha wenye kinga hafifu mwilini wanasaidiwa?"}