{"id":129687,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/129687/?format=json","text_counter":75,"type":"speech","speaker_name":"Dr. Gesami","speaker_title":"","speaker":{"id":19,"legal_name":"James Ondicho Gesami","slug":"james-gesami"},"content":"Bw. Spika, kuna magonjwa mengi ambayo husabisha upungufu wa kinga mwilini. Kwa mfano, tuna ukosefu wa chakula, HIV/AIDS na ugonjwa wa sukari. Watu hawa walikufa kutokana na matatizo ya HIV/AIDS."}