{"id":1297631,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1297631/?format=json","text_counter":296,"type":"speech","speaker_name":"Mombasa County, ODM","speaker_title":"Hon. Zamzam Mohammed","speaker":null,"content":"Mwisho kabisa, kama Mama wa Kaunti, ninaombea taifa la Palestine lipate amani. Wananchi wa Palestine waweze kukaa kwa amani na mwenyezi Mungu awapatie wepesi kwa mitihani ambayo wanapitia."}