{"id":1299,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1299/?format=json","text_counter":289,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Hassan","speaker_title":"","speaker":{"id":398,"legal_name":"Yusuf Hassan Abdi","slug":"yusuf-hassan-abdi"},"content":"Asante sana, Bi. Naibu Spika wa Muda. Nimesimama kuunga mkono Hoja hii. Nitazungumza kwa Lugha ya Kiswahili kwa sababu baadhi ya watu walioathiriwa ni wazungumzaji wa lugha hii. ."}