{"id":1308396,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1308396/?format=json","text_counter":3000,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Thang’wa","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Nilitaka kujua hivyo tuu. Bw. Spika, katika nakala ya pili, kutoka County Assembly ya Meru, kurasa ya saba hadi 29 ni ile wanaita IFMIS printout . Katika column 3, imeandikwa sub-item description na kuna pre-payments kutoka mwezi wa Julai, 2022 hadi ukurasa wa 29, Julai 6, 2023. Huo ni mwaka mmoja. Katika hio sub-item ya pre-payment, zimelipwa 410, kwa watu tofauti, ikiwemo huyo muungwana anaitwa Meme aliyetajwa hapa mara kadhaa. Swali langu ni kwamba amekuwa akilaghai kupitia huyo mtu ama wale ambao ni ndugu---"}