{"id":1319682,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1319682/?format=json","text_counter":298,"type":"speech","speaker_name":"Malindi, ODM","speaker_title":"Hon. Amina Mnyazi","speaker":null,"content":"pasipo kuwa na usawa katika ugawaji wa kazi, sisi kama Wakenya bado tunajikuta katika mahali pabaya."}