{"id":1323826,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323826/?format=json","text_counter":154,"type":"speech","speaker_name":"Masinga, Independent","speaker_title":"Hon. Joshua Mwalyo","speaker":null,"content":" Mheshimiwa KJ, nijulishe tu. Pia, naweza kubadilisha lugha niende kwa Kizungu kama Mhe. Spika wa Muda atakubali kwa maana naona Kiswahili kimeanza kunilemea."}