{"id":1323833,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323833/?format=json","text_counter":161,"type":"speech","speaker_name":"Kitui South, JP","speaker_title":"Hon. (Dr) Rachael Nyamai","speaker":{"id":13374,"legal_name":"Richard Ken Chonga Kiti","slug":"richard-ken-chonga-kiti"},"content":" Mheshimiwa Spika wa Muda, asante sana kwa kunipatia nafasi. Niko na hoja ya nidhamu. Ningependa kuuliza kama ni halali kwa Mheshimiwa Mwalyo kusema maneno ya kamuti . Amerudia mara mbili. Anajua inaweza kuleta shida katika Bunge ukirudia mara mbili. Ni halali?"}