{"id":1323857,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323857/?format=json","text_counter":185,"type":"speech","speaker_name":"Mhe. Martha Wangari","speaker_title":"Mhe. Spika wa Muda","speaker":{"id":13123,"legal_name":"Martha Wangari","slug":"martha-wangari"},"content":" Hii hoja ya taarifa ni ya kusema kiondo sio Kiswahili bali ni kikapu. Mhe. Nyamai, unakubali kupewa hii taarifa na Mhe. KJ?"}