{"id":1330068,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1330068/?format=json","text_counter":316,"type":"speech","speaker_name":"Rabai, PAA","speaker_title":"Hon. Kenga Mupe","speaker":null,"content":"Ninampongeza Rais wetu wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Ruto. Tunaona kwamba wazee wote wa miaka sabini wameanza kutengewa pesa hivi sasa na wameanza kuzipata."}