{"id":1340710,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1340710/?format=json","text_counter":266,"type":"speech","speaker_name":"Likoni, ODM","speaker_title":"Hon. Mishi Mboko","speaker":null,"content":"kwamba sehemu za Busia na Mombasa ziko kwenye nambari ya kwanza na pili katika takwimu kuhusu mambo ya utumiaji wa pombe haramu na dawa za kulevya."}