{"id":1347435,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1347435/?format=json","text_counter":307,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mungatana, MGH","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Sababu ya Mswada huu kupigwa msasa kwa mara ya pili ni kwa sababu tunataka yule mkulima wa kawaida apate haki yake. Serikali hii haitaki kufanya cosmetic change ."}