{"id":1349760,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1349760/?format=json","text_counter":104,"type":"speech","speaker_name":"Baringo County, UDA","speaker_title":"Hon. Jematiah Sergon","speaker":null,"content":" Ahsante sana, Mhe. Spika, kwa nafasi hii uliyonipa. Mwanzo, nakupa kongole kwa kuchaguliwa kama Mwenyekiti wa Maspika katika Jumuiya. Kwa kweli, waliokuwa wakifanya uchaguzi walielewa weledi wako katika uongozi."}