{"id":1350447,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1350447/?format=json","text_counter":207,"type":"speech","speaker_name":"Mombasa County, ODM","speaker_title":"Hon. Zamzam Mohammed","speaker":null,"content":" Mhe. Mwenyekiti wa Muda, inatamausha sana wakati Spika amezungumza na kupitisha jambo, kisha linaenda kujadiliwa kando liweze kuwa reversed . Magavana hawa wamepata matatizo mengi sana, na sisi tumeshuhudia. Tukiangalia hata mafuriko, gavana wetu ametukanwa sana kwa kukosa pesa. Tunasema hizi pesa ambazo wameomba..."}