{"id":1353071,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1353071/?format=json","text_counter":287,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mungatana, MGH","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Lakini angalia historia nyingine ambayo niliambiwa. Mama mkwe wangu alisafiri akaenda Amerika na kama kawaida kwa sababu kuna marafiki kule, akabeba"}