{"id":1353607,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1353607/?format=json","text_counter":473,"type":"speech","speaker_name":"Kwale County, ODM","speaker_title":"Hon. Fatuma Masito","speaker":null,"content":"Naomba kuunga mkono Hoja hii. Tuwape kipaumbele na thamani wavuvi wetu wanaoishi maisha ya uchochole na umaskini na maisha duni. Wana mapato ya leo tu. Asante, Mhe. Spika wa Muda."}