{"id":1356499,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1356499/?format=json","text_counter":318,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Wengi wamesema hapa kwamba Kenya inatakikana kuongoza kwa sababu swala la Haiti ni la kibinadamu. Kama ni utu ungeanza na nchi ya Palestina. Nchi zote za ulimwengu zime---"}