{"id":1356624,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1356624/?format=json","text_counter":443,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Murango","speaker_title":"","speaker":{"id":13585,"legal_name":"Murango James Kamau","slug":"murango-james-kamau"},"content":"Bw. Spika wa Muda, unajua Seneta wa Wajir, Sen. Abass, hajui kuongea kwa sauti ya chini. Kwa hivyo, siwezi kuchangia akiwa anaongea. Tuligundua kwamba cartels ndio bado walikuwa wasaga kahawa na pia kujifanya"}