{"id":1358447,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1358447/?format=json","text_counter":237,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mungatana, MGH","speaker_title":"","speaker":null,"content":"itaanza kufanya kazi, wananchi wenyewe wataona kwamba Mhe. Rais anatupeleka nchi hii vizuri. Kwa hayo mengi, naomba kuunga mkono Hoja hii na hotuba ya Rais."}