{"id":1367669,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1367669/?format=json","text_counter":223,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wafula","speaker_title":"","speaker":{"id":348,"legal_name":"Davis Wafula Nakitare","slug":"davis-nakitare"},"content":"(3) Ieleze hatua ambazo Serikali imechukua dhidi ya wahusika waliowapachika mimba wanafunzi hao, ili kukomesha hali hii ambayo imeathiri viwango vya masomo katika kaunti hiyo."}