{"id":1369839,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369839/?format=json","text_counter":308,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Ahsante sana, Mheshimiwa Spika wa Muda. Ninajumuika na Waheshimiwa wenzangu katika Hoja hii ya kuzingatia Utekelezaji wa Maazimio ya Baraza la Umoja wa Mataifa kuhusu Kanuni za Kuzuia Ugaidi."}